“ Ndipo Yesu akajibu , akamwambia , mama imani yako ni kubwa , na iwe kwako kama utakavyo .Akapona binti yake tangu saa ile.”

Bwana Yesu Kristo asifiwe! Wapendwa ndugu zangu katika Kristo Yesu Bwana wetu, tumesikia kutoka kwa kaka yetu mkubwa ndugu Vincent Marko Shaidi, wengine baba mkubwa na wengine babu alivyotueleza wazee wetu walivyotuasa jinsi ya ndugu kuishi. Mimi nimepewa jukumu la kuangalia na kuchunguza maandiko matakatifu yaani Biblia ili kuona Mungu anasema nini kuhusu ndugu. Leo nimeangalia maeneo machache kama ifuatavyo:
NAFSI YANGU KWA NINI KUINAMA NA KUFADHAIKA NDANI YANGU?
“ Akawaambia , mnayo mikate mingapi? Nendeni mkatazame walipokwisha kujua wakasema , mitano na samaki wawili . Akawaagiza wawaketishe wote, vikao , vikao penye majani mabichi.”
“Na kulipokuwa jioni mashua ilikuwa katikati ya bahari, na yeye yu peke yake katika nchi kavu. Akawaona wakitaabika kwa kuvuta makasia, kwa maana upepo ulikuwa mbiso, hata ilipopata kama zamu ya nne ya usiku akawaendea, akitembea, juu ya bahari, akataka kuwapatia."
“Msihukumu nanyi hamtahukumiwa, msilaumu, nanyi hamtalaumiwa, achilieni; nanyi mtaachiliwa. Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa, kipimo cha kujaa nakushindiliwa, na kusukwa –sukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu.Kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa.”

“Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako”.
“Akamjibu baba yake, akasema, Tazama mimi nimekutumikia miaka mingi hii, wala sijakosa amri yako wakati wowote, lakini hujanipa mimi mwana - mbuzi, nifanye furaha na rafiki zangu.”
“Kwa kuwa siku zinakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote; watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako."
“Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake.”