• elisheshe@yahoo.com
  • +255765837485
  • 05 Nov, 2023
  • Admin

Yohana 1:11-12 “Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake.”

Anayeongelewa hapa ni Bwana wetu Yesu Kristo ambaye alikuja ulimwenguni wala ulimwengu haukumtambua. Wayahudi walitarajia kuwa atakuja Masihi au kwa jina lingine Kristo atakayewakomboa kutoka utawala wa Waroma na kurudisha ufalme kwa Waisraeli, hii ni kulingana na unabii katika Agano la kale. Matendo ya Mitume 1:6 “Basi walipokutanika, wakamwuliza, (Yesu) wakisema, Je Bwana, wakati huu ndipo unapowarudishia Israeli ufalme.” Kuna unabii mwingi katika Agano la Kale unaoonyesha jinsi mambo yatakavyokuwa kabla na baada ya kuja Masihi au Kristo. Hebu tuangalie unabii huo uliotabili kuja kwa Masihi ambao umeelezwa sana na nabii Isaya, na jinsi ulivyotimia kwa kuja kwa Bwana wetu Yesu Kristo.

Bofya hii link kuona utimilivu wa unabii - https://cantz-my.sharepoint.com/:i:/g/personal/elifadhili_cantz_or_tz/EdsqNp-6ACVFlrCVPobgrO4BHj-wNXPmI92frcFFMMvXvg?e=4lEQfQ



Share This