Angalau mara moja kwa miaka miwili ukoo wa Shaidi popote pale walipo hukusanyika ili kukutana na kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu. Shughuli hiyo ya shukrani pamoja na mambo mengine huambatana na kufanya maombu, kushirili ibada kanisani, kutoa mkono wa msaada kwa wahitaji, kupata cchakula cha pamoja na kufanya kikao cha ukoo. Kwa mwaka 2017 tarehe 13 mpaka 15 oktoba ukoo ulikutana kijijini vudee kwa lengo la kutoa sadaka ya ukoo, kufungua nyumba ya ukoo na ubatizo wa mtoto. Tathimini ya shughuli, picha na video zake zinapatikana kwa ku-bofya kwenye link hii- BOFYA HAPA
Same, Kilimanjaro
+255765837485
Monday-Friday (9:00 AM - 5:00 PM)
Saturday and Sunday: Off
Ukoo wa Shaidi
Copyright 2023. Ukoo wa Shaidi. All Rights Reserved.