MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU YANAYOPATIKANA KATIKA MISTARI YA BIBLIA ILIYOPIGIWA MSTARI NA MWL. MARKO SHAIDI.
Utangulizi
Katika Biblia aliyokuwa anaitumia ya United Bible Society, 1952 Mwl. Marko Shaidi kuna maneno ambayo ameyapigia msatari (underline). Mistari iliyopigiwa mstari ni ile ambayo aliiona kuwa ni muhimu kwake na kwetu pia.Nilipitia mistari hiyo tarehe 7 Juni , 2019 na ni rai yangu kuwa tuitafakari mistari hii ili tupate uelewa mpana wa Neno la Mungu. Mistari hiyo ni kama ifuatavyo:-
Agano la Kale:
Mwanzo 2:8-9, 1 Wafalme 17:10-11, Zaburi 31:19, 31:21, na 32:7. Wimbo Ulio Bora 1:1-6, 2:1-2, 2:16-17, 3:1-4, 4:1-2,7 na Wimbo Ulio Bora 5:6,9-11, na 8:1.Isaya 48:7, 55:1-3, 55:6-7 na 55:12-13. Yeremia 29:11-14, Maombolezo 3:22-26, Ezekieli 36:25-28 Daniel 12:3, Nahumu 1:9-10.
Agano Jipya:
Mathayo Mtakatifu 6:25-26, 15:28, 17:19-21, 26:38-41 Marko Mtakatifu 6:38-39, na 6:47-48. Luka Mtakatifu 6:36-37, 15:18, 15:29, na 19:44. Yohana Mtakatifu 1:11-12,17:3,20:9, Waraka wa Paulo Mtume kwa Warumi 8:6-8, 8:38-39, 8:29,12:3 Waraka wa Kwanza wa Paulo Mtume kwa Wakorintho 7:29-31, 11:1-2, 2 Wakorintho 5:16,20, 8:3,11:14-15,12:7-9,13:5. Waraka wa Paulo Mtume kwa Wagalatia 2:20,3:17 Waraka kwa Waebrania 2:3-4, 6:4, 10:37-38 Waraka wa Yakobo kwa watu wote 2:14-16, 2:23-24, Waraka wa Kwanza wa Yakobo kwa watu wote 2:15-17.